![]() |
| HUYU NDO MTOTO ALIEZALIWA WAKATI MAMA AKE AKIWA KATIKA KITUO CHA KUPIGIA KURA HUKO MUTHURWA. |
![]() |
| WAZEE WAWILI WKIENDA KUTIMIZA HAKI YAO YA KUPIGA KURA KATIKA JIMBO LAMACHAKOS. |
![]() |
| Msalia mdavadi aki vote |
![]() |
| PICHA INAJIELEZA. |
![]() |
| MISURULU ILIONEKANA KATIKA VITUO |
![]() |
| LEO BLOG HII INAPOANDALIWA LAPTOP ZETU ZIKO BIZE SANA MTATUSAMEHE TUKIWA TUNACHELEWA KU EDIT HABARI KUTOKA KENYA. |
![]() |
| Rais Mwai Kibaki akipiga kura yake ya amemchangua nani anajua yeye. |
![]() |
| BI CHARITY NGILU AKIPIGA KURA YAKE. |
![]() |
| "MUZUNGU"NI MZUGU NYIE WAKENYA AKIWA NAE KWENYE FOLENI YA KUPIGA KURA. |
![]() |
| HII NI MOJA YA ELKOPTA YA KITUO CHA HABARI CHA K24 KATIKA HARAKATI YA KUPATA HABARI TANZANIA TUNAOMBA VITUO VYETU NAVYO 2015 VIJIPANGE. |











No comments:
Post a Comment