![]() |
| KAZI YA KUWAONGOZA WAKENYA SASA RASMI KUIANZA. |
![]() |
| HUYU SASA NDIE RAIS KENYA KUTOKA DAKIKA HII. |
![]() |
| Chief Justice Willy Mutunga's arrival at the MISC, Kasarani |
![]() |
| The crowds at kasarani. |
![]() |
| People continue trickling in at kasarani stadium. |
![]() |
| Crowds of people run. |
![]() |
| KWA WALE WA FECEBOOK KAZI KWENU MTAFUTE LIKE AU COMMENT . |
![]() |
| WAKIJIANDAA KWA HATUA ZA MWISHO MWISHO VIKOSI VYA ULINZI. |
![]() |
| WANANCHI NAO WAKIJONGEA UWANJANI. |
![]() |
| UKINZI KILA KONA UMEIMALISHWA. |
![]() |
| WAKO TAYARI KUAKIKISHA USALAMA UPO. |
![]() |
| Hii ni nyumba iliojengwa na Serikali ya Kenya kwa ajili ya kumzawadia Rais Kibaki anaestaafu. |
![]() |
| One of the freedom fighters arrives for theinaugration. |
![]() |
| Laying out the red carpet at the VIP |
![]() |
| rais wa Tanzania nae aliwasili kwa ajili ya sherehe hizo. |



















No comments:
Post a Comment