Thursday, May 16, 2013

HABARI KUBWA KWENYE MICHEZO ZINAMUHUSU BECKAHM NA FRANK LAMPARD.

Mchezaji Divid Beckahm ametangaza kuwa mwisho wa msimu huu ndo mwisho wake wa kucheza soka la ushindani .
Beckham said: 'I'm thankful to PSG for giving me the opportunity to continue but I feel now is the right time to finish my career, playing at the highest level.'
Baada ya jana kutwaa Ubingwa wa Eropa ligi kwa kuifunga Benefica klabu ya Chelsea imesaini mkataba wa mwaka mmoja na kiungo wake Frank Lampard.

After a season of uncertainty over the midfielder's future, the Blues confirmed on Thursday that the England midfielder will remain at Stamford Bridge next season.

No comments:

Post a Comment