Thursday, May 9, 2013

PICHA RAIS AKIKABIDHI BENDERA KWA WANAJESHI WANOOENDA DRC.


jw1
Nakukabithi bendera hii kama ishara ya kuwawakilisha Watanzania drc katika kurinda Aman.
jw2Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera kiongozi wa batalioni ya  wanajeshi wa JWTZ wanaokwenda kujiunga na  jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika sherehe za kuwaaga zilizofanyika Msangani, Kibaha, Mkoa wa Pwani leo Mei 8, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Shamsi Vuai Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wanashuhudia.

No comments:

Post a Comment