Thursday, May 9, 2013

SHEIKH PONDA ISSA PONDA HAUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE.

Hatimaye ile hukumu ya katibu wa Jumuhiya na Tasisi za waislam,sheikh ponda ameukumiwa kifungo cha nje kwa mwaka mmoja mda mfupi uliopita.

Sheikh ponda katika picha.
kuanzia picha namba mbili na kuendelea sheikh ponda alipoachiwa akizungumza na vyombo vya habari na kupongezwa na kupewa pole na watu mbalimbali.

No comments:

Post a Comment