Friday, June 7, 2013

HIVI HAWA VIONGOZI WANAUMWA UGONJWA UNAOFANANA?

Nchini Tanzania wananchi na wanaharakati upinga sana kitendo cha baadhi ya viongozi waliochanguliwa na wananchi kuonekana wamelala (kuuchapa usingizi) sehemu muhimu kama vile Bungeni, na kwenye makongamano ama Mikutano na wakiulizwa majibu yao huwa ni wanatafakali ama anaumwa kama ambavyo iliisha wahi kutokea kwa baadhi ya Mawaziri na wa heshimiwa wabunge sasa Picha zifuatazo zinaonyesha si Tanzania tu kumbe hata nchi jilani pia wanauchapa usingizi a.k.a kutafakali


                                                                  UGANDA.
HAWA NI BAADHI YA WAHESHIMIWA NCHINI UGANDA WAKIWA WANATAFAKALI.
                                                                      TANZANIA
                                      HAWA PIA NI BAADHI YA WAHESHIMIWA WA NCHINI TANZANIA.

                                                                      ZIMBABWE.
PICHA YENYEWE INAJIELEZA KWANI KUNA HAJA YA KUIPA MANENO EBU IPE MANENO WEWE UNAEITAZAMA BASI............................................!!

     Sasa tujiulize je ni kuchoka na majukumu ya kila siku ama ni kweli kwamba huwa wanatafakali maswala mbalimbali yanayoendelea sehemu husika hama tofauti na hapo wanapokuwa ama ndo kutokuwa makini na kutojali kwamba hapo walipo wanatumia kodi za wananchi wao. kwa maoni yako ama  kama unanyongeza za picha tuandikie na tutumie bpromas@outlook.com                                                                                                       

No comments:

Post a Comment