Wednesday, June 5, 2013

KWA WANAOELEKEA LEADERS CLAB MWILI WA MANGWAIR TAYARI USHAWASILI KATIKA VIWAJA HIVYO TAYARI KWA HESHIMA ZA MWISHO.

Hile siku kubwa na ya kukumbukwa kwa wapenzi wa mziki wa kizazi kipya Tanzania sasa ndo imewadia ambapo leo hii ndo siku rasimi ya kumuanga Mwanamzika Albert Magwer na tayari mda huu unapoisoma habari hii mwili ndo umewasili kunako viwanjani hapo tayari kwa wananchi  kutoa heshima za mwisho.Hali ya hewa katika eneo la tukio ni nzuri kabisa kwa watakaofika katika viwanja ivyo na usalama pia umeimalishwa karibu kila sehemu kuakikisha mpendwa wetu tunamuanga katika hali ya Amani na Utulivu.

No comments:

Post a Comment