Saturday, June 8, 2013

NELSON MANDELA APELEKWA TENA HOSPITAL HALI YAKE SI NZURI SANA.

Rais msitaafu wa Afrika kusini Nelson Mandela mwenye miaka (94)  imelipotiwa hali yake ya kiafya si nzuri sana ingawaje ni mwenyenguvu rakini yuko katika hali mbaya sana na amepelekwa hospitali kwa matibabu zaidi "Serious but stable" kwa niaba ya blog hii tunamuombea kwa Mungu aweze kurudi katika hali yake ya kawaida.


Na hii ni tweet aliotweet Waziri mkuu wa wingereza mara baada ya kupata taarifa ya ungonjwa wa mzee Nelson Mandela

   HII NI HABARI ILIVYOANDIKWA NA CNBC KUMUHUSU MZEE NELSON MANDELA KUPELEKWA HOSPITALI.

Former South African president and anti-apartheid hero Nelson Mandela was in a "serious but stable" condition on Saturday after being taken to hospital with a recurrence of a lung infection, the government said.

The 94-year-old, who became the first black leader of Africa's biggest economy in 1994 after historic all-race elections, has been in hospital three times since December. He has been battling the infection for several days, a statement said.

"This morning at about 1:30 a.m. (2330 GMT) his condition deteriorated and he was transferred to a Pretoria hospital. He remains in a serious but stable condition," the government said.

Presidential spokesman Mac Maharaj told local television that "doctors have assured us he is comfortable".

No comments:

Post a Comment