Ikiwa ndio ziara yake rasmi ya kazi toka alipochaguliwa kuliongoza kanisa Katoliki Duniani na ikiwa ndio ziara ya kwanza nje ya nchi Papa francis amewashangaza Wabrazil na Dunia zima kwa jinsi alivyo kiongozi asiye na Makuu mara baada ya kuwasili katika Jiji la Reo de Jeneiro Msafara wa Papa ulikuwa ni wa kawaida sana na mara kadha ulikwama katika foleni za Barabarani na kupeleke walinzi na wanausalama kuwa katika wakati Mgumu wa kuakikisha usalama wa Kiongozi huyo unakuwa salama na zaidi sana ni pale Gari aliokuwa amepanda kutokuwa imefungwa vioo na kupelekea makudi ya watu kutaka kumpiga picha na kumgusa pale ulipokwama katika foleni na habari zaidi zinasema Mama mmoja alimrusha mtoto wake Dilishani ili apate balaka za Papa na wakati hayo yakiendelea mwenyewe alikuwa hana wasiwasi wowote.
Umati wa watu ukiwa kalibu na Gari iliokuwa imembeba Papa mwenye vazi jeupe kwenye gari aina ya Fiat. |
Umati wa watu wakijaribu kumkalibia wengine wanataka kumgusa wengine kumpiga picha hapa ndipo mama mmoja aliweza kumrusha Mtoto wake kwenye Dilisha alipokuwa amekaa Papa. |
Msafara wa Papa Francis ukiwa umekwama kwenye foleni kana unavyoona katika picha. |
Umati wa watu . |
No comments:
Post a Comment