Itakumbukwa kuwa Mwaka 2009 ilitoke tukio la Mkuu wa Wilaya Bukoba wakati huo Bw, Albert Mnali aliyeamuru polisi mmoja kuwachapa viboko walimu katika
shule tatu za msingi zilizoko wilayani kwake kutokana na kushika mkia
katika matokeo ya darasa la saba. Sasa hali imekuwa tofauti uko Morogoro baada ya safari hii walimu kuchalazwa na wazazi |
|
No comments:
Post a Comment