Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi
Mhe James Mbatia na Daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa
Tume
ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI)
kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamos Novemba 2, 2013 Nyumbani kwake na kumkata kwa mapanga na waliweza kuchukua komputer ya Mkononi "laptop" Simu pamoja na siraha yake ya kujilinda Bastola kwa Niaba ya Uongozi wa Blog hii Tunatoa pole kwa tukio hili na tunaimani na vyombo vya Usalama wahalifu ni matumaini yetu watapatikana na watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria za nchi.
|
No comments:
Post a Comment