Louis Van Gaal ndio Kocha Mpya wa Klabu ya Machester United anachukuwa nafasi iliokuwa wazi baada ya kutimuliwa kwa Kocha David Moyes. Klabu ya Machester kwenye taarifa yake imesema kocha huyo mpya atasaidiwa na Ryan Giggs kama kocha msaidizi.
Louis Van Gaal muholazi aliefundisha klabu mbalimbali kama Ajax Amsterdam mwaka 1995,akiwa na klabu iyo aliweza kushinda kombe la Mabigwa Ulaya,Mwaka 1998 na 1999 alishinda la liga ligi ya Hispania akiwa na klabu ya Barcelona na Badae akiwa na klabu ya Bayern Munich nae aliweza kutwaa taji mwaka 2010.
|
|
No comments:
Post a Comment