Friday, May 10, 2013

HIVI PUNDE:MAJINA YA WALIPUAJI WA KANISA ARUSHA YATAJWA.

Hatimaye  majina takilibani tisa (9) ya watuhumiwa wa ulipuaji wa kanisa uko Arusha olasitiyatajwa na wanashikiliwa na polisi kwa sasa nao ni:-
  1. VICTOR AMBROSE MIAKA 20-Huyu ni mkazi wa kwa Mrombo Arusha.

  2. JOSEPH YUSUPH LOMAYANI MIAKA 18-Huyu ni mkazi wa kwa Mrombo Arusha.

  3. GEORGE BARTHOLOMEO SILAYO MIAKA 26-Huyu ni mkazi wa Olasiti Arusha.

  4. MOHAMMED SULEIMAN SAID MIAKA 38-Huyu ni mkazi wa Ilala Dar es salaam aliyewafuatakwa gari binafsi washukiwa wa ugaidi kutoka kiwaja cha ndege na kuwapeleka hotel ya Aquiline iliyopo Arusha.

  5. SAID ABDALLAH SAID MIAKA 28-Huyu ni mkazi wa Abu dhabi Nchi za Falme za kiarabu

  6. ABDELAZIZI MUBARAK MIAKA 30 -Huyu kutoka nchi za falme za kiarabu.

  7. JASSIN MBARAKA MIAKA29 -Huyu mkazi wa Bondeni Arusha .

  8. FOUD AHMAD MIAKA 28-Hyu kutoka Nchi za falme za kiarabu.

  9. SAID MOHSEN KUTOKA SAUD ARABIA NAJRAN.

No comments:

Post a Comment