Friday, May 10, 2013

POLISI TARIME YATUHUMIWA KUMUUA KIJANA WA MIAKA 9

Kuna habari kutoka Tarime kwamba Polisi wa kanda maalum Tarime walimpiga Risasi kijana Mdogo wa miaka 9 kwa makosa wakati wakijaribu kukabiliana na majambazi kati ya mpaka wa Tanzania na Kenya.

Baada ya tukio hilo wananchi walianza kuandamana huku wakiwa wameubeba mwili wa kijana huyo habari hii ni kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo na pamoja na mtandao wa kijamii blog kutoka Mara.Juhudi za kumpata kamada wa polisi kanda maalum Tarime zinaendelea ili asibitishe tuhuma hizi na tukio lenyewe..''TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII WEWE UNAEITAZAMA SASA"

HII NDO PICHA YA KIJANA AMBAE SASA NI MAREHEMU DEO YAKOB ALIEKUWA ANASOMA SHULE YA MSINGI MTURU WILAYANI TARIME.

No comments:

Post a Comment