Thursday, October 10, 2013

WATU WANAPENDA TATTOO LAKINI ZINAMAUMIVU YAKE MCHEKI RIHANNA ALIPOKUWA AKICHORA TATTOO MPYA.

Picha hizi zinazomuonyesha msanii Rihanna akicholwa tattoo pamoja na gwiji INIA TAYLOR Tattoo hiyo ya kiutamaduni si kama tatoo nyingine mtu anachomwa sindano ya maumivu tatoo hii ya utamaduni inayojulikana kama MAORI TATTOO ambayo Rihanna ameichola kwenye mkono wake wa kulia inacholwa kwenye ngozi kabisa na inasadikiwa mtu anasikia maumivu sana .

 

No comments:

Post a Comment