Friday, May 10, 2013

HIZI NDIZO NYUMBA ZA KIONGOZI MMOJA WA ZAMANI WA VIJANA WA CHAMA ..

HILI NI GETI LA KUINGIA KATIKA NYUMBA YAKE HIYO.
PICHA INAJIELEZA.
HUU NI UKUTA WA NYUMBANI KWAKE.
HII PIA ANAMILIKI YEYE.
HIVI NDIVYO INAVYOONEKANA MOJA KATI YA NYUMBA ZAKE ANAZOMILIKI.
DILISHA LA KWANZA JUU KUSHOTO NDIO CHUMBA CHA GARI LAKE.
HII NI SEHEMU YA JUU YA NYUMBA YAKE AMBAPO HIKI NI CHUMBA CHA KUIFADHIA GARI YAKE.
JULIUS MALEMA KATIKATI FULL ULINZI
HII NDO NYUMBA ILIOPINGWA MNADA .
Jana ilikuwa ni siku mbaya sana kwa kijana na ambae pia alikuwa kiongozi wa Vijana wa chama cha ANC  cha Afrika kusini Julius Malema moja kati ya Nyumba zake ambayo ilikuwa aijakamilika ilipingwa mnada kwa lengo la kufidia kodi ambazo Bw,Julius Malema alikuwa akikwepa kulipa na pia tuhuma alizonazo za kifisadi na sasa inasemekana pia moja ya mashamba yake pia yatapigwa mnada.

No comments:

Post a Comment