Saturday, October 19, 2013

STEVEN GERRARD AFUNGA GOLI LAKE LA 100 KWENYE LIGI KUU.

Kiungo wa liverpool Steven GERRARD leo amefunga goli lake la 100 katika mchezo wa ligi kuu kati ya Timu yake ya liverpool na Newcastle katika mchezo ulioishia kwa sale ya Magoli 2 kwa 2. Katika mchezo huo magoli ya Liverpool yalifungwa na Gerrard kwa njia ya Penalt pamoja na Sturridge.Mchezo unao fuata kwa sasa ni kati Chelsea na Cardiff 

na nyingine kama unavyoona Ratiba.....

 

 




No comments:

Post a Comment