Monday, October 21, 2013

UKIINGIA KWENYE MGAHAWA HUU HIVI NDO VITI,VINGINE UTASHANG'AA!!

Unaweza usiamini lakini ndo ukweli wenyewe mjasiliamari mmoja uko marekani amekuja na ubunifu katika mgahawa wake kwa kuja na ubunifu wa viti vya kukalia wateja wake akiwa amevitegeneza kama vyoo vya kukalia huku hata sahani za kulia chakula katika mgahawa huo ni kama masinki kama unavyoona katika picha hapo chini

 



No comments:

Post a Comment