Saturday, May 11, 2013

KAULI YA KAMANDA KOVA JUU YA HABARI ZA KULIPUKA KWA BOMU.

Kamanda wa kanda Maalum ya Dar es salaam Suleimani Kova amesema taarifa zilizosambaa kwa watu na kwenye mitandao ya kijamii kwamba kuna kanisa lingine limelipuliwa kwa bomu huko Kunduchi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam si za kweli bali kulikuwa na mapambano kati ya Majambazi na Polisi jilani na kanisa hilo kama tulivyohaidi kuwaletea habari rasimi kutoka kwa mamlaka zinazo husika ndo hiyo.POLENI SANA KWA WALE WALIOATHIRIKA NA HABARI HIZO ZILIZOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.

KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM SULEIMAN KOVA.

No comments:

Post a Comment