Saturday, May 11, 2013

FULL TIME CHELSEA 2 ASTON VILLA 1

Frank Lampard leo ameendeleza rekodi ya kuwa mmoja kati ya wachezaji walioifugia timu ya chelsea magori mengi baada ya leo kufunga mawili katika mchezo uliomalizika hivi punde na kufikisha magoli 203
Heshima kwake Frank Lampard.

No comments:

Post a Comment