Tuesday, May 14, 2013

KUELEKEA FAINALI KESHO YA UEFA NDOGO CHELSEA NDANI YA NDEGE KUELEKEA HUOLANZI.

Gary Cahill akitweet uku akiwa ndani ya ndege unataka kujua alichotweet?FOLLOW ME TWITTER/#CFC
Wakiwa kwenye basi wakielekea Airport kukwea pipa a.k.a Mwema kwa uko Bongo Tz.
Huku ndege ikiwa angani ndani maojiano yanaendelea hakuna shinda hata kidogo
HUU NDO UWAJA UTAKAOCHEZEWA MECHI HIYO YA FAINALI KATI YA CHELSEA NA BENEFICA.
WACHEZAJI WA CHELSEA WAKIWA KWENYE NDEGE WAKIELEKEA KUNAKO MJI WA AMSTENDAM UHOLANZI HIVI PUNDE.
Kesho ndo ile fainali ya Eurpa ligi itakayopingwa katika nchi ya Uholanzi kuanzia mida ya saa 3:45 usiku kwa saa za Afrika Mashariki endelea kutazama picha zaidi ya kinachojili uko mda mfupi ujao...

No comments:

Post a Comment