Monday, June 3, 2013

HUYU NDO YULE BIBI WA MIAKA 78 ALIEANZA SHULE MWAKA HUU.

Huyu ndiye Bibi wa miaka 78 Mariana Ong'ango Ololo mwanafunzi mpya katika Shule ya Msingi Obambo,na ndio mwanafunzi mzee katika shule iyo.Gazeti la Nation la nchini Kenya limelipoti kuwa Bibi huyo ni Mama wa watoto nane na alifiwa na mmewe toka mwaka 2002.Imelipotiwa kwamba ameanza shule kwa sababu ya kupenda Siasa na mtu aliemvutia sana na hadi kupelekea kuipenda siasa ni Uhuru Kenyatta namnukuu Bibi Mariam "Uhuru Kenyatta si mtu mzee bado kijana lakini ameweza kuwa Rais wa nne wa kenya na hii imechagia kutokana na Elimu yake aliopata.
KWELI ELIMU HAINA MWISHO  BLOG HII TUNAMTAKIA MASOMO MEMA BIBI HUYU.
Maoni yako kuusu habari hii bpromas@outlook.com

No comments:

Post a Comment