AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA NCHINI TANZANIA ALIPOKUWA AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA WANAJESHI SABA WALIOFIA SUDANI.
Rais na Amiri Jeshi wa Ulinzi na Usalama nchini Tanzania Mh, Jakaya Mrisho Kikwete amewaongoza watu mbalimbali Ndugu na jamaa katika kuianga miili ya Wanajeshi Saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania walioshambuliwa uko Dafur wakati wakia katika majukumu ya umoja wa Mataifa kulinda Amani na kuakikisha Amani inapatikana Nchini Sudan .
No comments:
Post a Comment