Thursday, July 11, 2013

HATIMAYE AFRIKA MASHARIKI KUWA NA MCHEZAJI LIGI KUU YA WINGEREZA.

Hatimaye Timu ya Southampton imekamilisha usajili wa mchezaji raia wa kenya Victor Wanyama miaka 22 kutoka Klabu ya Celtic  kwa ada ya huamisho wa Euro 12.5 Million na kufanya aweke rekodi ya kusajiliwa kwa pesa nyingi katika klabu hiyo na amesaini mkataba wa Miaka minne kuichezea klabu hiyo katika ligi kuu ya Wingereza na kumfanya kuwa Mchezaji wa kwanza kutika ukanda wa Afrika mashariki na kati kucheza katika ligi hiyo kubwa kwa sasa Duniani.

..................................................................

Southampton have completed the signing of Celtic midfielder Victor Wanyama on a four-year deal for an undisclosed fee, reported to be a club-record £12.5million.

Kenya international Wanyama leaves the SPL champions after two seasons in which he made a big impression and won two titles.

The 22-year-old, who had been linked with other Premier League teams, scored 10 goals in his 61 league outings for Celtic, who spent £900,000 to sign him from Belgian side Beerschot.

Wanyama said: "There were other options, but Southampton is a club with ambitions so I chose to came here

"I'm very grateful to be here and I'm looking forward to playing in the Premier League."

Saints boss Mauricio Pochettino said: "I am very pleased to have secured the signing of Victor because we are a big admirer of his talents.

"I want to stress that the deal could have been done sooner, but this shows that we do business on our terms."

 


No comments:

Post a Comment