Wednesday, July 17, 2013

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATI YA CHELSEA NA SINGHA ALL-STAR.

Kikombe cha ubingwa nacho kilikuwepo japo si Ubingwa kihivyo lakini Heshima inakuwepo,
Kocha jose mourinho akitoa maelekezo kama kawaida yake.
Goooooooooo!!!!!!
Huu ndo Uwaja ulipochezewa Mechi hiyo.
Mchezo huu uliochezwa leo majira ya saa kumi kwa saa za Afrika Mashariki na kati ndio ilikuwa mchezo wa kwanza kwa kocha Jose Mourinho toka alipotua kuinoa klabu iyo kwa mara nyingine tena na ukiwa pia ni mchezo wa kwanza kwa vijana waliosajiliwa kwa msimu huu na mchezo umeisha kwa Chelsea kufunga  Singha All-Star Goli moja Goli lililofungwa na Romelu lukaku alielejea kutoka Wert Brom alikokuwa kwa mkopo msimu uliopita na ambae The special one anasema anataka ambadilishe awe kama Drogba Mpya katika klabu hiyo ya Chelsea.
Kijana mpya kutoka Brazil Wallance akionyesha vitu vyake.
Mfungaji wa Goli hilo la Chelsea.

Baada ya Mchezo Jose Mourinho amezungumza kuhusiana na swala la Wayne Rooney na hii hapo chini ndio Habari kuusu swala la Wayne Rooney....

 

The Chelsea manager confirmed that a written offer to Manchester United for the transfer of the striker had been made but that no other players are part of the offer.

'Chelsea is interested in this player, made a bid and what we did we did officially,' Mourinho said.

'Now we have nothing more to say, we want the player, we made the bid and now it is up to Man United.

'We don't want to make public the bid but it is just a certain amount of money and it doesn't involve players or players in the possibility of negotiation. No Juan Mata, no David Luiz.'

Mourinho added that he did not know Man United's response to the bid.

'Now I keep trying to improve my players and we will see what happens.

'From me no more comments with respect to Man United, my colleague David Moyes and my players.

'I trust my players and I am happy with them and in this bid I want to be respectful.'


No comments:

Post a Comment