Wednesday, July 10, 2013

MAJINA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KUTOLEWA LEO.

Siku ya jana ilitawaliwa na habari za masomo ya kidato cha sita kuanza bila kuwepo wenzao wa kidato cha Tano sasa hatimaye habari kutoka Wizara ya Elimu ni kwamba majina hayo  ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka huu 2013 yatatangazwa leo na wizara ya Elimu. Endeleaa kufatilia hapa hapa baada ya kutangazwa yatapatikana hapa..........!!!!!

No comments:

Post a Comment