![]() |
| Akiwa sambaba na wakongwe aliokuwa nao kipindi hicho. |
![]() |
| Kocha Jose Mourinho akiongoza mazoezi ya Timu yake kwa mara ya kwanza tokea ateuliwe kuwa kocha. |
![]() |
| Mazoezi yakiendelea pamoja . |
![]() |
| Baadhi ya vifaa vikiwa tayari vimeandaliwa kwa ajili ya kutumika katika mazoezi hayo. |
![]() |
| Viatu vipya vilivyotengenezwa na kampuni ya Adidas kwa ajili ya Wachezaji kwenye Mazoezi. |
![]() |
| Kwa mara ya kwanza alipokucha Chelsea akitokea Port alikuwa anatumia Clip bord sasa amekuja anatumia Ipad huyo ndo "The special One" |








No comments:
Post a Comment