![]() |
| Hili ni Duka la simu na Computer kama unavyoona lilivyovurugika. |
![]() |
| Kama unavyoona kila kitu kiliachwa. |
![]() |
| Wakusahau Pochi walisahau maana ilikuwa ni hali ya taharuki. |
![]() |
| Hapa ni uchunguzi ukiendelea kwa makini. |
![]() |
| Huu ni mmoja wa mgahawa ndani ya westgate Mall. |





No comments:
Post a Comment