Thursday, October 3, 2013

HII NDO NDEGE ILIOANGUKA UKO GONGOLAMBOTO.

Hii ndo Ndege ya kampuni ya ASLUM iliokuwa na Rubani mmoja na mwanafunzi mmoja waliokuwa kwenye mafunzo ya kuendesha ndenge kwa vitendo ikiwa imeanguka katika eneo la Gongolamboto Dar es salaam Tanzania KWA MUJIBU WA MASHUHUDA WA TUKIO HILO.

No comments:

Post a Comment