|
Siku ya jana kulikuwa na michezo mbalimbali ya kombe la Capital One Cup nchini wingereza kioja kilichotokea kilikuwa ni hichi katika picha kati ya mchezo wa Aston Villa na Tottenham yafuatayo ni matokeo katika michezo iliochezwa
| |
|
MACHESTER CITY 5 - 0 WIGAN
SWINDON 0 - CHELSEA 2
ASTON VILLA 0 - 4 TOTTENHAM
FULHAM 2 - 1 EVERTON
No comments:
Post a Comment