Thursday, September 26, 2013

TAZAMA UTAHARAMU HUU WA KUWEKA PUA NYINGINE.

A Chinese man has had a new nose grown on his forehead following a traffic accident last year.

These astonishing pictures show Xiaolian, 22, at a hospital in Fuzhou, Fujian province, as doctors check on his progress ahead of transplant surgery.

The patient underwent the unusual procedure after he neglected nasal trauma treatment following a traffic accident in August 2012.

Doctors had to take the extreme measure after an infection corroded the cartilage of his original nose, making it impossible for surgeons to fix it.

The new nose is grown by placing a skin tissue expander onto his forehead, cutting it into the shape of a nose and planting a cartilage taken from his ribs.

The surgeons said that the new nose is in good shape and the transplant surgery could be performed soon, local media reported.

RAIA mmoja wa nchini China anayejulikana kwa jina moja la Xiaolian, mwenye umri wa miaka 22, ametengenezewa pua nyingine na madaktari ambayo sasa imewekwa kwenye paji lake la uso, baada ya ile ya asili kuharibika katika ajali ya gari iliyomkumba Agosti, 2012. Madaktari wameitengeneza pua hiyo kwa kutumia sehemu mbalimbali za mwili wa mtu huyo zikiwemo sehemu za mbavu na ngozi yake. Operesheni hiyo imefanyika katika hospitali moja huko Fuzhou, katika Jimbo la Fujian.


CHANZO :Metro kutoka uk.

 

 


No comments:

Post a Comment