Thursday, October 17, 2013

"NCHI IKIWA NA AMANI RAHA SANA"UKO SYRIA KUTOKANA NA VITA WANANCHI WAMERUHUSIWA KULA MBWA NA PAKA.

Kutokana na Vita vinavyoendelea nchini Syria kati ya Waasi na Vikosi vya Serikali chini ya utawala wa Rais Assad kuendelea na kushika kasi hali ya mambo si shwali hasa katika maitaji muhimu kwa wananchi kama Chakula,Mavasi,Matibabu na hiyo imepelekea kusababisha Jimbo moja ambalo liko chini ya Waasi ambalo Vikosi vya Rais Assad wamelizingila takilibani mwaka mmoja sasa na kusababisha kutofanyika shughuli yoyote ya kijamii katika Jimbo hilo kwa hali hiyo iliopo katika jimbo hilo imepelekea Imamu aliefahamika kwa jina la Salah al - Khatibu ambae ndio kama Mtawala katika sehemu hiyo aliwatangazia wakazi wa mji huo kuwa kwa sasa wako katika mateso makubwa sana baada ya vikosi vya serikali kuwazingila na Chakula nacho kinawaishia sasa akutakuwa na njia nyingine zaidi ya kula Mbwa na Paka.Na ikumbukwe sasa ni taklibani mwaka mmoja maelfu ya wakazi hao wamezingilwa na vikosi vinavyomtii Rais.Wakaaji wa maeneo hayo wamelipotiwa wakisema kwamba "Wao katika siku za hivi karibuni wamelazimika kuishi kwa kula Mbwa,Paka na mizoga ya wanyama pamoja na Majani ya miti na Magugu alisema Tarmer anaeishi katika kambi ya wakimbizi ya YARMOUK.

Wito wetu kwa Watanzania na Wapenda Amani Duniani kote Tuitunze AMANI YETU HII TULIONAYO.Tazama sasa Binadamu wezetu wanavyoangaika kwa kula mizoga ya wanyama tuwaombee sana kwa mwenyezi Mungu apate kuwasaidia,wakati Mimi,Yule,Wewe tukifurahia sikuku kwa kula mbuzi,Ng'ombe na kunywa wezetu wanafikilia ni njisi gani watakavyo kula Mbwa na Paka inauma sana Vijana tusikubali kutumika kuatarisha Amani ya Nchi yetu Tanzania.


No comments:

Post a Comment