Friday, February 21, 2014

MATOKEO KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 YATANGAZWA.

Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.

Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).

Mwanafunzi Robina M. wa Marian aongoza mwaka huu.





Baada ya mda yatawekwa katika mtandao wa Baraza la Mitihani tayari kwa wahusika kutazama.





No comments:

Post a Comment