Friday, February 1, 2013

MFANYA BIASHARA AKUTWA NA JENEZA NDANI YA SEHEMU YAKE YA BIASHARA..

Hivi ndivyo likiwa linavyoonekana baada ya kukutwa.
Wafanyabiashara awahamini wanachokiona.
Kweli ule msemo usemao Duniani kuna mambo basi ulitimia katika jiji la Mwanza uko kanda ya Ziwa victoria ambapo Mwenyekiti wa Wafanyabiashara katika soko kuu la Mwanza alikutwa na Jeneza akiwa ameliweka tatikati ya Magunia ya Viazi.Mfanyabiashara huyo ambae pia ndio mwenyekiti wa Wafanyabiashara hapo sokoni ambae anajulikana kwa jina la MOHAMED alikutwa na kazia iyo ya Jeneza katika mizigo hiyo ya magunia ambayo yalikuwa tayali kwa ajili ya kuwauzia wateja,kwa maelezo ya wafanya biashara wezake inakisiwa kuwa ni imani za kishilikina yeye alipoulizwa kuusiana na swala hilo alijitetea kwa kusema"Si limekutwa kwenye ofisi yangu kwani tatizo liko wapi"Habari zaidi zinasema Jeneza ilo alilitoa msikitini lakini uchunguzi zaidi unaendelea ili kubaini ukweli wa jambo ilo na wito kwa wafanyabiashara wezake ni kwamba awaombe radhi kutokana na swala hilo kwani wateja wameogopa sana na kupelekea kudolola kwa Biashara sokoni hapo.   

No comments:

Post a Comment