Tuesday, March 12, 2013

PICHA 20 NDANI YA GEREZA LA GUANTANAMO WANAPOIFAZIWA MAGAIDI.!!

hii ni fensi ya Gereza.
Hii ni sehemu ya upande wa GEREZA .
Ulinzi hapa ni mkali sana kama unavyoona.
Moja ya Barabara inayoingia na kutoka katika Gereza la GUANTANAMO.
Full wavu kila sehemu.
Ni baadhi tu ya viumbe wanaopatikana GUANTANAMO.
Askari wakiwa mazoezini haya ni mazoezi ya kila siku kujiweka fiti.
Gusa huone kipigo chake a.k.a Komando.
Mazoezi ya kulenga shabaa kama kawaida.
KISOME MWENYWEWE .
Ukitoloka lazima utaonekana tu.
Ndani ya Gereza kunavyoonekana hivyo pembeni ndimo watuhumiwa hukaa humo.
HIKI NDICHO CHOO CHA MFUNGWA PEMBENI KITANDA UTAJIULIZA KINABEBEKA!!
HIZI NDIZO PINGU JE NI KAMA ZA KWETU ZILIVYO?
MSOSI NAO HAUSAULIKI KULA MUHIMU KATIKA MAISHA YA BINADAMU HUO NDO MSOSI WA GEREZA LA GUATANAMO.
MFUNGWA AKIJISOMEA MAGAZETI NDANI YA GEREZA UHURU WA MTU UNAZIGATIWA.
FULL NYAMA HAZIKOSI.
HIKI NI CHUMBA KIMOJA WAPO NDANI YA GEREZA LA GUANTANAMO.
MAOJIANO YAKIWA YANAENDERA UPANDE WA PILI YANAONEKANA KUPITIA SCREEN.
MIKONONI MWA POLISI A.K.A MASOJA.
KUJISOMEA NDO MTINDO MMOJA KWA WAFUNGWA.
CHUMBA CHA KULALA MFUNGWA KINAVYOONEKANA KWA UZURI ZAIDI KWA MBELE NDO DILISHA.
TANZAMA WANAFANYA NINI HATA MI SIJUI,
ULINZI WA KUTOSHA HAPA.

Hizi ni picha zikionyesha Gereza la Guantanamo ambalo ndiko watuhumiwa wa maswala ya Ugaidi upelekwa kuifaziwa huko wakisubili kesi zao au ambao wameisha hukumiwa,Gereza hilo liko katika kisiwa kilichopo Cuba kinachomilikiwa na Marekani. KESHO TEMBEREA BLOG HII KUNA EXCULUSIVE PICTURE HATARI SANA........!!!USIKOSE!!!!

No comments:

Post a Comment