Wednesday, March 13, 2013

MCHAKATO WA KUMPATA PAPA MPYA UKIWA UNAENDELEA PATA PICHA NDANI YA UKUMBI KUNAVYOKUWA.

HAPA NDIPO MAKADINALI WANAKAA KUMCHAGUA POPE KATIKA UKUMBI HUU UNAOITWA SISTINE CHAPEL.
HIVI NDIO VIFAA VYA KUPIGIA KURA YA KUMCHAGUA POPE.
HAYA NI MAVAZI MATATU (3) YA VIPIMO TOFAUTI PAMOJA NA BOKSI ZA VIATU KWA AJILI YA POPE MPYA.
KILA NAFASI YA KADINALI KUNA VITU HIVYO VINAVYOONEKANA.
BAADA YA KUCHAGULIWA ANAINGIA KATIKA CHUMBA HIKI KILICHOMO NDANI YA SISTINE CHAPEL KUVAA MAVAZI RASMI YA KIPOPE.
HUU NDO MLANGO WA SISTINE CHAPEL NDANI NDO WAMO MAKADINALI.

Ikiwa leo kikao hicho kinaingia siku yake ya pili jana alishindwa kupatikana baada ya moshi mweusi kutoka katika paa la ukumbi huo kwa kitendo hicho ni kwamba kura zilizopigwa jana hakupatikana mshidi.

 

No comments:

Post a Comment