Tuesday, March 5, 2013

VIKAO VYA SIRI VYA KUMCHAGUA PAPA VIKIWA VINAENDELEA SASA KATI YA HAWA MMOJA ANAWEZA KUWA!!!!

HUYU NI CARDINAL MALCOLN RANJITH KUTOKA SRILANKA MIAKA 65 ANAONGEA LUGHA 1O VIZURI.
HUYU NI  CARDINAL PETER TURKSON KUTOKA GHANA MIAKA 64.
HUYU NI CARDINAL MARC OULLET KUTOKA CANADA MIAKA 68.
HUYU NI CARDINAL LEONARDO SANDRI KUTOKA ARGENTINA MIAKA 69.
HUYU NI CARDINAL FRANCIS ARINZE KUTOKA NIGERIA MIAKA 80.
HUYU NI CARDINAL AGELO BAGNASCO KUTOKA ITALY MIAKA 70.
HUYU NI CARDINAL CLAUDIO HUMMES KUTOKA BRAZIL MIAKA 78.
HUYU NI CARDINAL TARCISIO BERTONE KUTOKA ITALY MIAKA 78.
HUYU NI CARDINAL CHRISTOPH SCHON KUTOKA AUSTRIA MIAKA 68.
HUYU NI CARDINAL ANGELO SCOLA KUTOKA ITALY MIAKA 74.
HUYU NI CARDINAL ODILO SCHERER KUTOKA BRAZIL MIAKA 63.
HUYU NI CARDINAL GIANFRANCO RAVASI KUTOKA ITALY MIAKA 70.
Hawa ndio makadinali kumi na mbili ambao wanapewa nafasi kubwa ya kuliongoza Kanisa Katoliki Duniani kwa mtazamo wa kibinadamu na wachambuzi mbalimbali wa maswala ya kanisa katoliki lakini kati ya makadinali 134 hivi ambao wanaudhulia mkutano wa kumchangua papa ambao unaendelea kwa sasa yeyote yule anaweza kuteuliwa. Endelea kufatilia hapa hapa kujua nini kitatokea............!!!!!

No comments:

Post a Comment