Thursday, April 11, 2013

TAZAMA WASANII WA NJE NA NDANI YA NCHI NA MIZIGO YAO.

KATIE PRICE NA MABEGI YAKE.
VICTORIA BECKHAM NA MIZIGO YAKE.
LINDSAY LOHAN NA MIZIGO YAKE.
RIHANNA NA MIZIGO YAKE.
JENNIFER LOPEZ NA MIZIGO YAKE.
PARIS HILTON NA MIZIGO YAKE.
ONE DIRECTION NA MIZIGO YAO.
SHAKIRA NA MIZIGO YAKE.
BRITNEY SPEARS NA MIZIGO YAKE.

VANESSA HUDGENS.
JAMES CORDEN.

Hizi hapo juu ni baadhi ya picha za wasanii wa ulaya wakiwa wanasafili ama kutoka katika sehemu mbalimbali wanavyokuwa wamebebelea mizingo  swali la kujiuliza huwa ni Nguo hama ni vitu gani wanakuwa wamebeba..upande wapili tuanze kutazam wa kwetu wenyewe wakiwa wanasafili ama kutoka wanakokuwa wameenda ki safari na wenyewe wanarudi na mizigo kama hawa wenzao .....picha zinafata mda si mrefu na wewe kama unazo pia tutumie bpromas@outlook.com hata kama nawe pia ukisafili unakuwa na mamizigo kama hawa tutumie.

No comments:

Post a Comment