![]() |
Mwakilishi wa Papa akiwa na Askofu Lebulu akitoka kwenye VIP ya Arusha Airport kuelekea kwenye ndege. |
![]() |
Hapa akisaidiwa na wafanyakazi kukamilisha dokomenti zake za Usafiri, huku ulinzi ukiwa tight! |
![]() |
Kwaheri Mtumishi wa Mungu, tunaomba uje tena tutakapoamua kuzindua upya Parokia Yetu ya Yosefu Mfanyakazi- Olasiti Arusha. |
![]() |
Safari njema usiongope kurudi Arusha tena. |
![]() |
Akiagana na waliomsidikiza. |
![]() |
Akiingia ndani ya ndege tayari kwa kuondoka. |
No comments:
Post a Comment