![]() |
HILI NI GETI LA KUINGIA KATIKA NYUMBA YAKE HIYO. |
![]() |
PICHA INAJIELEZA. |
![]() |
HUU NI UKUTA WA NYUMBANI KWAKE. |
![]() |
HII PIA ANAMILIKI YEYE. |
![]() |
HIVI NDIVYO INAVYOONEKANA MOJA KATI YA NYUMBA ZAKE ANAZOMILIKI. |
![]() |
DILISHA LA KWANZA JUU KUSHOTO NDIO CHUMBA CHA GARI LAKE. |
![]() |
HII NI SEHEMU YA JUU YA NYUMBA YAKE AMBAPO HIKI NI CHUMBA CHA KUIFADHIA GARI YAKE. |
![]() |
JULIUS MALEMA KATIKATI FULL ULINZI |
![]() |
HII NDO NYUMBA ILIOPINGWA MNADA . |
No comments:
Post a Comment