Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera kiongozi wa batalioni ya wanajeshi wa JWTZ wanaokwenda kujiunga
na jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Kongo, katika sherehe za kuwaaga zilizofanyika Msangani, Kibaha, Mkoa
wa Pwani leo Mei 8, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Mhe. Shamsi Vuai Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange
wanashuhudia. |
No comments:
Post a Comment