Tuesday, June 18, 2013

ARUSHA HALI TETE MABOMU YA MACHOZI YANAPIGWA,SUGU APATA AJALI YA GARI....

Habari kutoka Arusha Soweto ni kwamba polisi wanapiga mabomu ya machozi ni taharuki imetanda katika mji wa Arusha na wakati huo huo kunahabari nyingine ambazo zinasema.......

Mh joseph Mbilinyi SUGU mbunge wa Mbeya mjini amepata ajali ya gari baada ya gari yake aliokuwa akisafilia kwenda Arusha kuungana na wabunge wezake katika tukio la kuanga miili ya marehemu kugongana na basi la abilia katika eneo la Kasheki Wilayani Hanan'g lakini habari zinasema ameweza kunusulika katika ajari hiyo.

kuna habari pia kwamba baadhi ya Wabunge wa chama icho wamekamatwa na polisi mmoja ambae tunahukika kwamba ameshikiliwa ni Tundu lissu baada ya kusibitishiwa na mmoja wa makada wa chama hicho alioko Arusha Soweto.

HALI ILIVYO ARUSHA WAKATI MABOMU YA MACHOZI YAKIPINGWA.

 

No comments:

Post a Comment