Hivi wewe ukiwa unasafili kwenda mbali unalala mapozi gani kwenye Gari chukua mda wako kutazama haya hapa....
| Akiamka hapa pua lazima akaikande na maji. |
| No comment ila kuna maswali ya kujiuliza hapa ni......!!! |
| Kwetu maeneo ya wale vijana wa kazi ukiamka simu huna, |
| Kati ya pozi nililoipa nafasi ni hili ha!ha!kama ni namba huyu mshindi wa Pili endelea kutazama mshindi namba moja utamuona tu. |
| Huyu nae sijui tilalila ama usingizi kazi kweli kweli. |
| Hii inaitwa Chunga mzigo wako. |
| Hii meseji nafikili nayo ilipata usingizi wakati ikiwa hewani. |
| Hapa ni kusema hili ni namba moja. |
| Sijalala ila naona. |
| Du!!kiuno chake tu kitamuhumaje. |
| Kaa tayari kuziba pua hapa namba tatu hiyo. |
No comments:
Post a Comment