Tuesday, June 25, 2013

HUYU NDO MRITHI WA JOSE MORINHO REAL MADRID.

Hatimaye klabu ya Real Madrid imemteua kocha wa zamani wa Chelsea Carlo Ancelotti kuwa kocha wao mpya kuchukua nafasi ilioachwa wazi na "The special One"Jose Mourinho alielejea katika klabu yake ya Chelsea na nafasi ya Carlo Ancelotti katika klabu ya Paris st Germain inachukuliwa na mchezaji wa zamani wa Machester United Laurent Blanc.


No comments:

Post a Comment