Monday, June 17, 2013

KWA WANAOTOA MIMBA ACHENI VITENDO HIVI.

Siku za hivi karibuni imekuwa ni kawaida kusikia Mwanamke ametoa Mimba ama amekitupa kichanga kichakani jamani tabia hii si nzuri na ni wito wetu kwenu kwamba tabia hii inamchukiza mwenyezi Mungu na pia hata Sheria za nchi yetu zinakataza vitendo hivyo vya kinyama katika jamii yetu sasa kuanzia mwezi wa saba blog hii inaanza kampeni ya kuamasisha Jamii kupinga vitendo hivi katika mazigira yetu yanayotuzunguka kama unataka kushiliki unaweza kutuandikia email kupitia bpromas@outlook.com na kuelezea ni nini kifanyike juu ya kutokomeza matukio haya ya kinyama.
Maandalizi ya kampeni hii kwenye twitter kaa tayari kwa watumiaji wa twitter fecebook nako tunakuja

Kichanga hichi kisicho na hatia baada ya kutolewa kabla ya siku zake kutimia yani miezi 9.

No comments:

Post a Comment