Thursday, June 13, 2013

MSANII LANGA AFARIKI DUNIA

MSHINDI WA COCA COLA POPSTER 2004 LANGA AMEFARIKI DUNIA .....>>Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii huyo alikuwa amelanzwa katika Hospitali ya Taifa ya mhimbili akisumbuliwa na homa kali na majila ya kuanzia saa kumi na moja jioni alifaliki Dunia tunawapa pole familiya ya msanii huyo kwa msiba walioupata Mwenyezi mungu awatie nguvu sana.


No comments:

Post a Comment