Tuesday, July 30, 2013

KWA WALE WANAOPUNGUZA MAFUTA MWILINI ANGALIENI MSIJE UPATA UGONJWA HUU.

Hizi ni Picha za Mwandishi mmoja wa kigiriki alizoziweka mtandaoni baada ya kuugua Ugonjwa wa ANOREXIA huu unatokana na kupunguza mafuta mwilini bila kufuata taratibu kwa wale wanaojiona wanamafuta mengi mwilini angalieni unaweza pia kusababisha ugonjwa mwingine kama anavyoonekana huyu Dada anaeitwa Nana Karagianni.

No comments:

Post a Comment