Tuesday, July 23, 2013

RIHANNA TENA NA TRANSPARENT WHITE T-SHIRT WITHOUT A BRA.

Msanii wa kike nchini Marekani Rihanna  kila kukicha kunakuwa na habari mpya kumuhusu yeye na nyingi zinakuwa katika mavazi anayovaa kwa sasa Ebu jionee na ili Picha ya kwanza mpaka ya Tatu ndivyo alivyoonekana adhalani uko Stockholm Sweden akiwa na T-shirt inayoonesha matiti yake bila hata kuweka brauzi.Kuanzia Picha ya nne hili ni vazi lililozugumziwa sana wiki iliopita baada ya kuonekana amelivaa. ( Rihanna oooo, Choi! The pop star was pictured leaving her hotel room in Stockholm, Sweden this after wearing a transparent white T-shirt without a bra.)

PICHA ZA JUU ALIVYOONEKANA WIKI HII KATIKA VIVAZI



WIKI ILIOPITA ALITOKELEZEA HIVI.

No comments:

Post a Comment