Thursday, August 8, 2013

BEYONCE MWONEKANO MPYA WA NYWELE ZAKE KWA SASA.

Mwanamziki Beyonce ambae pia ni mke wa msanii Jay z ameweka picha zake mpya akionekana amekata nywele zake na kuwa fupi tofauti na mashabiki wake walivyozoea kumuona akiwa na Nywele Ndefu hizi zifuatazo ni picha anavyoonekana kwa sasa,picha ya mwisho mara ya mwisho alivyokuwa akionekana kabla ajapunguza nywele.


No comments:

Post a Comment