Saturday, August 17, 2013

UNAKUMBUKA HII YA WAZUNGU KUFANYIWA TAMBIKO MTWARA ILI GESI ITOKE.

Kweli utamaduni wa mtu lazima kuukubali tu Wazungu walioko mtwara walikubali kufanyiwa Tambiko ili Gesi hiyo itoke Mtwara kama picha zinavyoonekana.

Picha hizi kwa hisani ya mdau wetu uko Mtwara na Dar es salaam nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment